Kundi hatari lisilovumilika kenya la la Al Shabab kutoka Somalia lajipongeza kwa bashasha na ndelemo!!"Hatari"
Kundi hatari lisilovumilika kenya la la Al Shabab kutoka Somalia, Siku ya Jumanne walifanya
sherehe ya kujipongeza kwa mbwembwe na taharuki kuu.Sherehe hizo zilifanyika katika eneo la Barawa
baada ya kufanya shambulio la mauaji nchini Kenya katika maduka ya
Westgate Mwezi septemba Tar 21 ambapo watu takribani ya 67 walipoteza
maisha ikidaiwa ni kulipa kisasi kwa mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wa
Kenya mjini Kismayo.
0 comments: