Arsenaliii katika ubora wake mpya!! Tunarudi Tumejipanga Ndani ya Emirates stadio!!(Back to EPL)

kandanda safi yenye burudani na vionjo tosha,Upinzani wa hali ya juu na ligi ngumu duniani inarudi leo huku arsenali ikiivaa Crystal palace timu isiyo na kocha aliyeamua kuacha manyoya baada ya